22.11.13

Thursday, September 26, 2013

Ayler - Sio (NOIZ) KIONJO SNIPPET

Msikilize mwanadada Ayler wa OneShot Music, mrembo aliyesikika zaidi kwenye ngoma ya "Bembeleza" aliyoshirikishwa na Gentriez toka Arusha na wimbo wake huu ameupa jina la "SIO" ,round hii ikiwa ni kazi aliyo record studio za Noizmekah chini ya Defxtro, ngoma ni mahadhi ya Reggae pata KIONJO au snippet HAPA kwa mawasiliano zaidi check naye kupitia FaceBook HAPA powered by www.vmgafrica.com
-----------
Ayler-Sio (NOIZ) KIONJO SNIPPET
http://goo.gl/mBqon4

No comments: