22.11.13

Thursday, September 19, 2013

BACK TO THE SUA SEASON 2 EPISODE 2

YECHU! YECHU! YECHU!

HII HAILIPIWI HATA KUMI ARIFU YAANI
KIINGILIO NDO KITU HAMNAGA

Pale Pale fasi ya K-JUU mwisho wa daladala
mkabala na kwa kina Elia Huu na fundi Seremala.....
Graffiti kwenye kila pande ya Ukuta,Dj kwa fasi,Freestyle battle
na Mamistari ya Hatari Hatari!

Jivunie kuwa Arusha,Jivunie Kuwa HipHop

ACHA USORO IBUKA CHALIANGU!
MSHTUE NA BEIBE MTIMBE KIJENGE YA JUU


No comments: