22.11.13

Wednesday, September 25, 2013

Chukua hii: Video ya Mwana FA & AY "BILA KUKUNJA GOTI" kupigwa katika vituo hivi vya TV za nje

Siku nyingine hatua nyingine...video ya BILA KUKUNJA GOTI imefanikiwa kufikia viwango(imepita) TRACE,MTV Base,Channel O na Sound City...Yes,itaonekana kote huko...#AfrikaNzima...#GoingPlaces...#KeepingTheGoodMusicAlive

No comments: