22.11.13

Monday, September 30, 2013

(HABARI ZILIZOTUFIKIA) Mack Malick Simba aka Mack 2B afariki dunia.

Habari zilizonifikia muda mfupi uliopita kutoka kwa Mchizi Mox ni kwamba msanii Mack 2B kutoka kundi la WATEULE amefariki dunia, Mack 2B alikuwa akiumwa kwa muda mrefu hadi leo asubuhi mauti yalipomkuta. Msiba upo maeneo ya YOMBO Makangarawe na mazishi ni kesho saa nne asubuhi.

No comments: