Msanii wa Hip Hop nchini ambaye pia ni mdogo wa Prof Jay anajulikana kwa jina la BLACK RHINO mungu amemjalia mke wake amejifungua mtoto wa kike nusu saa iliyopita katika hosp ya Muhimbili Dar es Salaam. Rhino anasema mke wake amejifungua kwa njia ya kawaida na wote wako salama kabisa. Stay tune kwa picha za mtoto zinakuja muda si mrefu
No comments:
Post a Comment