22.11.13

Thursday, September 26, 2013

Hivi umeshawahi kusikia collabo la JCB & Professor Jay....??? Sikiliza kionjo hiki kidogo "DRIVE SLOW"

Pata kusikiliza kionjo cha JCB ft Professor Jay, wimbo unaitwa "Drive Slow" ikiwa ni kazi toka Mj Records chini ya MarcoChali, Download HAPA na kwa info zaidi ungana na JCB kupitia Facebook HAPA powered by www.vmgafrica.com
-----------
JCB ft Professor Jay-Drive Slow KIONJO
http://goo.gl/wdD6UP


No comments: