22.11.13

Monday, September 16, 2013

IJUMAA hii ndani ya NYUMBANI LOUNGE

Wadau wangu wa DJCHOKAblog
Alhamis hii ni siku yangu ya kuzaliwa naikumbuka, nimeona sio mbaya kwa mwaka huu nikasherekea na nyie kwa pamoja siku ya Ijumaa pale kwenye kiota cha burudani NYUMBANI LOUNGE huku tukipata LIVE BAND kutoka MACHOZI BAND kwa hiyo itakuwa tarehe 20.9.13.
Ukiwa kama mdau rafiki au ndugu basi tutakata keki na tutaimba kwa pamoja 

No comments: