22.11.13

Wednesday, September 25, 2013

John B na Provoke waleta Prodigal Son Mixtape ya Cannibal

 Hii ni mixtape iliyokua ikisubiriwa kwa ham sana toka kwa Cannibal ambaye amewahi kutamba sana na hits zake kama Kichwa Kibovu,I wish na Legend na collabos kama badman aliyoifanya na D Knob na My City My Towt aliyofanya na Prezzo,

huu ni kama utangulizi wa album yake itakayotoka soon,mixtape ya Cannibal inatoka chini ya usimamizi mkubwa wa producers John B toka Grandmaster Records Arusha na Provoke wa AMG Nairobi wakishirikiana na studio zingine kama Mystic,Ufuoni na nyinginezo,mixtape imebeba ngoma 19 na kushirikisha stars kama AY,Prezzo,Nazizi,Fundi Frank,Abass Kubaff,Bobby Mapesa,Sharama na wengine kibao,unaweza kucheck na ngoma zilizopo kwenye prodigal son hapa http://www.mdundo.com/a/44 pia unawezasikiliza preview/kionjo cha mixtape hiyo hapa http://www.hulkshare.com/i625x8xiu6f4

Kwa mawasiliano,interviews na mengineyo check na John B kupitia +255787276352 pia you can stay connected kwa facebook www.facebook.com/GrandmasterRecords au twitter @grandmastertz

No comments: