22.11.13

Friday, September 20, 2013

May C toka Arusha ndani ya Eatv Friday Night Live leo

Usikose kutazama FNL (Friday Night Live) na Sam Misago kupitia Eatv ijumaa ya leo kuanzia saa nne jioni hadi saa sita usiku, Mwanadada MayC aka MayChedda toka Arusha akitambulisha official video ya wimbo wake, "Rudgalz" na kuzungumzia changamoto katika muziki na pia mipango yake mipya katika sanaa.Together tuwakilishe usiku huu FNL mpango mzima, download audio ya Rudgals HAPA
MayChedda-Rudgalz http://goo.gl/fGdDPI

No comments: