22.11.13

Thursday, September 19, 2013

OMMY DIMPOZ..ALIPOWASILI WASHINGTON DC.....ASEMA YUPOTAYARI KUACHA HISTORIA MAREKANI KUANZIA JUMAMOSI HII WASHINGTON DC !

OMMY DIMPOZ ALIPOWASILI WASHINGTON DC

"OMMY DIMPOZ" AKIWA NA PROMOTER WAKE "DMK GLOBAL"
 
DIMPOZ AKIPATA UKODAKI NA PROMOTER WAKE "MR DMK"  PAMOJA NA AKINA DADA WALIOKUWEPO KUMPOKEA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA WASHINGTON DC.KULIA NI MLIMBWENDE ALIYEWAHI KUTWAA TAJI LA MISS TEMEKE NA KUSHOTO NI MLIMBWENDE MWINGINE KUTOKA TZ.
 OMMY NDANI YA LIMO KUELEKEA HILTON.
 

LUNCH TIME AT THE HILTON.
 
OMMY DIMPOZ AKIWA NA DESIGNER MISS TEMEKE NA GAUNI LAKE LA KWETU FASHION.

No comments: