Mara baada ya habari za kufungiwa kwa magazeti ya Mtanzania na Mwananchi
kutoka, Mhariri Mkuu Mtendaji wa New Habari Corporation ndugu Absalom
Kibanda aliongea na Mtangazaji wa kipindi cha Makutano Magic FM, Fina
Mango na kuelezea namna alivyozipokea habari hizo na kukemea kitendo
hicho alichodai ni cha kibabe na kuwa wahariri hawakupewa nafasi ya
kujitetea. Sikiliza mahojiano hayo kwa kubofya:
No comments:
Post a Comment