22.11.13

Monday, September 02, 2013

(News) BOSS OSTAZ JUMA AONYESHA UPENDO KWA MTOTO WAKE

Ostaz Juma ambae ndio Boss C.E.O wa Mtanashati Ent katika ukurasa wake wa Facebook ameandika kitu ambacho kimenigusa nikaona niwajulishe na nyie wadau, namnukuu
"Hii gari ni aina ya Toyota Mack X nimemnunulia mwanangu mpendwa Hayyan Boy aka Hayyan Juma kwaajili ya kupelekwa sehemu mbalimbali kama school na hospital na sehemu zinginezo, nampenda sana mtoto wangu Hayyan Juma"

1 comment:

Anonymous said...

Mmmmmh mashauzi dozen