Ostaz Juma ambae ndio Boss C.E.O wa Mtanashati Ent katika ukurasa wake wa Facebook ameandika kitu ambacho kimenigusa nikaona niwajulishe na nyie wadau, namnukuu
"Hii
gari ni aina ya Toyota Mack X nimemnunulia mwanangu mpendwa Hayyan Boy aka Hayyan Juma kwaajili ya kupelekwa sehemu mbalimbali kama school na
hospital na sehemu zinginezo, nampenda sana mtoto wangu Hayyan Juma"
1 comment:
Mmmmmh mashauzi dozen
Post a Comment