22.11.13

Tuesday, September 17, 2013

(News) Kiongozi wa kundi la Zanzibar Njema 'Ahmed Mgeni" afariki Dunia.

Habari zilizonifikia ni kwamba Marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kifua muda mrefu.Msiba upo 'Amani fresh Zanzibar'kwa wazazi wake,anatarajiwa kuzikwa leo saa kumi jioni.

R.I.P Ahmed Mgeni..!!!!

Sorce: Edwin Tanzania a.k.a 255

No comments: