22.11.13

Wednesday, September 25, 2013

(News) Meneja wa TIP TOP apata mtoto wa kiume

Babu Tale wengi tukimjua kwa jina hilo ambaye ndio meneja wa kundi la Tip Top kwa muda mrefu wana hatimaye usiku wa kuamkia leo katika hosp ya Muhimbili mungu amewajalia wamepata mtoto wa pili wa kiume. Tale ameongea na DJCHOKAblog na kusema mtoto wa kwanza walimpata miaka 6 iliyopita sasa wanafuraha kumpatia mtoto wao wa kwanza mdogo wake ni furaha kubwa katika familia yake kwa hivi sasa.

No comments: