22.11.13

Thursday, September 19, 2013

(News) Nawashukuru TCRA kwa mafunzo yenu "DJ CHOKA"

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili, mmiliki wa mtandao wa DJCHOKAblog Mr. Hugoline Martin Mtambachuo baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano, yaliyoanza juzi Septemba 17 na kumalizika jana jijini Dar es Salaam, huku yakiwashirikisha mablogger mbalimbali kutoka mikoa tofauti ya nchini.

No comments: