Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dkt. Mary
Nagu(kulia)akimkabidhi kombe la Udhamini Mkuu wa Maonesho ya wiki ya
Huduma za Kifedha na Uwekezaji,Mkuu wa Idara uendelezaji biashara ya M -
Pesa wa Vodacom Tanzania, Jackson Kiswaga(Kushoto) wakati wakufunga
maonesho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja mwishoni mwa
wiki.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dkt. Mary
Nagu,akimsikiliza Mkuu wa Idara uendelezaji biashara ya M - Pesa wa
Vodacom Tanzania, Jackson Kiswaga akimwelezea jinsi huduma ya M pesa
kupitia Mradi wa Mwei inavyowawezesha wajasiriamali wanawake kupata
mikopo isiyokuwa na riba katika maonesho ya wiki ya huduma za kifedha na
Uwekezaji,mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment