22.11.13

Thursday, September 19, 2013

(News) Zaidi ya Wanawake 2800 wamepokea mikopo kupitia mradi wa MWEI mwaka huu.

 Meneja wa Vodacom Foundation anayesimamia kitengo cha MWEI Bi. Grace Lyon (kulia) akimshuhudia Bi. Beatrice Shayo, mkazi wa Kunduchi, Dar es Salaam, akisaini fomu kabla ya kupokea mkopo wake kupitia mradi huo. Bi. Shayo ni mmoja wa wanawake wajasiliamali zaidi ya mia moja kutoka Kunduchi waliopokea jumla ya shillingi millioni 18 kupitia mradi wa MWEI ili kuanzisha biashara. Zaidi ya wanawake 2800 wamepokea mikopo mwaka huu. Mikopo hio haina riba.

 Meneja Mawasiliano wa kampuni ya Vodacom Tanzania Bi. Rukia Mtingwa (kushoto) akimueleza jambo Bi. Fatuma Said, mkazi wa Kunduchi, Dar es Salaam, mara kabla kupokea mkopo wake kupitia mradi wa MWEI. Bi. Fatuma ni mmoja wa wanawake wajasiliamali zaidi ya mia moja kutoka Kunduchi waliopokea jumla ya shillingi millioni 18 kupitia mradi wa MWEI ili kuanzisha biashara. Zaidi ya wanawake 2800 wamepokea mikopo mwaka huu. Mikopo hio haina riba
 
Meneja Mawasiliano wa kampuni ya Vodacom Tanzania Bi. Rukia Mtingwa (kushoto) akimueleza jambo Bi. Rehema Ali, mkazi wa Kunduchi, Dar es Salaam, mara kabla kupokea mkopo wake kupitia mradi wa MWEI. Bi. Rehema ni mmoja wa wanawake wajasiliamali zaidi ya mia moja kutoka Kunduchi waliopokea jumla ya shillingi millioni 18 kupitia mradi wa MWEI ili kuanzisha biashara. Zaidi ya wanawake 2800 wamepokea mikopo mwaka huu. Mikopo hio haina riba.


No comments: