22.11.13

Thursday, September 19, 2013

Njoo uucheze mduara IJUMAA hii ndani ya NYUMBANI LOUNGE

This Friday at Nyumbani Lounge ni Birthday ya DJ CHOKA pamoja na MDUARA wa Machozi Band LIVE tukiwa na ABDUL MISAMBANO aliyetamba na wimbo wa #Asuuuuu huku akiwa na @jidejaydee. Watu wa kawaida kiingilio ni Shs 10,000 ★Free Punch for the Ladies ★Zawadi ya Shopping kwa wadada 5 pale #ShearIllusion

No comments: