22.11.13

Friday, September 20, 2013

(Photo's) BIRTHDAY BOY DJ CHOKA ALIVYOOGESHWA JANA KWENYE PARTY YA TIMES FM

 Kama alikuwa aamini kilichotokea hivi lakini ndio kimeshatokea pale mtu mzima DJ CHOKA alivyoitwa mbele na MC ambaye alikuwa Gadna G Habashi na kuwaamuru watangazaji hao wa Times FM kumuimbia wimbo wa Bday na baada ya hapo ndipo zilishuka ndoo za maji zikiambatana na vimiminika vya baridi na kila aliyekuwa ameshikilia mvinyo vilimuendea Choka. Enjoy picha hizi zilizopigwa katika tukio hilo.

 Rose na Sandra Temu
 Danny Msimamo na Mkoloni
 Janjaro na Choka
 M-Rap, Pancho na Janjaro
 Danny Msimamo, Deddy, Hermy B na DJ Choka
 Mabeste na Hermy B
 Gadna na Banana Zorro
 Kinywaji ulikuwa unajimiminia mwenyeweeeeeee

No comments: