22.11.13

Wednesday, September 25, 2013

(Photo's) OMMY DIMPOZ AKIWA SHOPPING NDANI YA JIJI LA NEW YORK KUJIANDAA NA SHOW YA HOUSTON JUMAMOSI HII TAREHE 28

Kama ilivyo kawaida yetu Kampuni ya DMK Global Promotions na J&P Ent sikuzote ni kuhakikisha kuwa Msanii anapofika Marekani mbali kufanya Show mbali mbali pia huwa tunahakikisha msanii ana have fan nakuutumia muda wake kutembelea sehemu mbali mbali za marekani kama mtalii na Entertainer.Tou Hii ya Nai Nai pia imewashirikisha Swahili Tv/Swahili Radio online ambao wanafanikisha kutuletea habari na matukio ya Dimpoz akiwa USA.
Kushoto ni Promoter/USA Tour Manager Mr "DMK" pamoja na Dimpoz wakipiga picha na Fan

Ommy Dimpoz akiwa na Promoter "DMK" Time Square NYC baada ya Shopping
                                                   KWAPICHA ZAIDI BOFYA HAPA

No comments: