22.11.13

Tuesday, September 24, 2013

(Photo's) RAY THE GREATEST kutoka na movie hii

Super Star wa Bongo Movie nchini Ray Kigosi aka The Greatest sasa yupo kwenye matengenezo ya movie yake mpya ambayo amewashirikisha wasanii wenzake wa bongo movie wakali katika game hili. Katika account yake ya Instagram Ray ameonekana akionyesha picha wakati wakiishuti movie hiyo pasipo kutaja jina la movie hiyo huku akiwaambia mshabiki wake wakae mkao wa kula na kuona ujio wake mwingine.
 
Hebu onja kidogo picha kadhaa wakati wakishuti movie hiyo

No comments: