22.11.13

Monday, September 30, 2013

(Photo's) Utengenezaji wa video mpya ya SUMA MNAZARETI "UMECHELEWA"

Pichani ni Suma Mnazareti na video model Caro wakiwa location pande za Cape Town South Africa wakishoot video mpya inayokwenda kwa jina la UMECHELEWA. Nimezungumza na Suma kwa njia ya BBM akaniambia video yake ilianza kushutiwa jana na bado inaendelea, director wa video hiyo anaitwa Keshy kutoka nchini Burundi.

1 comment:

Anonymous said...

duuuh kuna huyo jamaa alikuwa anachukua video mbona anakichwa kama cha mamba au kenge ebu tuelezee au kavaa kitu