22.11.13

Thursday, September 26, 2013

Ungana na Vodacom Kuchangia Waathirika wa Ugaidi Kenya

Ungana na Vodacom na Red Cross katika kuchangia waathirika wa Ugaidi wa Westgate kupitia akaunti ya TUPO PAMOJA kwenye M-Pesa.
Kuchangia Piga *150*00# chagua MALIPO na kisha weka namba ya biashara 690069
#WeAreOne #Westgate #TzForKe

No comments: