HipHop joint brand new toka
kwa member wa A-town Boyz Sanawari Arusha" DiggoBoy" akiwa ameshirikiana
vyema na mkali wa ma chorus "WiseMan", ngoma inaitwa "Dont Judge Me" juu ya beat ya Producer Darsh "Wanene Ent" na vocals+Mixing pande za Noizmekah chini ya Defxtro, sikiliza/Download HAPA na kwa Mawasiliano zaidi check na DiggoBoy kupitia +255 759 680 079 na WiseMan kupitia +255 765 693 923 powered by www.vmgafrica.com
--DiggoBoy Ft WiseMan-Dont Judge Me http://goo.gl/GK9SjA
No comments:
Post a Comment