22.11.13

Friday, October 04, 2013

(Audio) Kichomi ft Maujanja Saplayaz,Bou Nako & J Deal

Hii ni toka kwa Dax Kichomi,mmoja kati ya wasanii wanaounda kundi la North Dwellers lililopo pande za kaskazini,hapa akiwa na Maujanja Saplayaz,Bou Nako pamoja na J Deal ambaye ni msanii mpya anayesimamiwa na producer John B wa Grandmaster Records,hii ikiwa ni moja ya ngoma zitakazoitambulisha mixtape ya Dax inayotarajiwa kutoka mapema mwakaniListen/Download Link; http://hu.lk/st7rmo5p92ioCreditsSong; InasomaArtists: Kichomi ft Maujanja Saplayaz,Bou Nako & J DealProducer: John BGrandmaster Records

No comments: