22.11.13

Friday, October 04, 2013

(Audio) Ladyfire/Jambo Squad - Kaka Kibo

Kutoka kwa Ladyfire Mtoto wa Bibi anayelelewa na familia ya Jambo Squad baada ya kimya kirefu sasa anarudi tena na hapa anatambulisha ngoma yake inayoitwa Kaka Kibo round hii akiwa kitofauti zaidi na alivyozoeleka ili kutoa burudani na kuelimisha zaidiSikiliza/Download kaka kibo: http://hu.lk/628luwef6e4gSong CreditsSong; Kaka KiboArtist; Ladyfire backups by Chalii Mtoto Wa Bibi & Ordinally (Jambo Squad)Producer; John BGrandmaster Records

No comments: