22.11.13

Tuesday, October 22, 2013

Day 2: Kaa tayari kwa wimbo mpya wa TUNDA MAN akiwa amemshirikisha msanii huyu

Ikiwa tupo siku ya pili mashabiki wa Tunda Man wakiwa na kiu yakutaka kujua ni kitu gani anakuja nacho msanii wao, basi leo imetolewa picha hii inayotaja jina la huo wimbo pamoja na msanii aliyemshirikisha. Wimbo unaitwa MSAMBINUNGWA na msanii aliyemshirikisha ni ALLY KIBA, sijui wimbo utakuwaje hata mimi nina kiu yakutaka kuusikiliza ila wote tuendelee kuusubiria hapa hapa.

1 comment:

omar mtsonga said...

Eager waiting for it!