22.11.13

Thursday, October 24, 2013

Day 4: Tunda Man ft Ally Kiba "MSAMBINUNGWA" Coming Soon

Ni mwendelezo wa picha za Tunda Man kuashiria kuna kitu kizuri kinakuja, mashabiki wa Tunda Man na Ally Kiba endeleni kungojea kwamaana hawa majamaa hawajawaangusha kabisa nadhani ni bonge moja la ushirikiano kutoka kwenye tasnia ya bongo fleva.

No comments: