Kwa Mara ya kwanza kabisa Cannibal kutoka pande flani za 254
ataiwakilisha East Africa pande za Dubai ijumaa ya tarehe 8 mwezi ujao
ndani ya Rock City,Howard Johnson hotel,milango itafunguliwa kuanzia saa
mbili usiku,mcheck Cannibal hapa
http://youtu.be/L1IDag0vj5Y akizungumzia show hiyo.
No comments:
Post a Comment