Mteule Juma Mchopanga a.k.a Jay Moe, More Techniques
amewakutanisha wakali wa Bongo Fleva Mr. Blue, Cpwaa na AY kwa
kuwashirikisha kwenye wimbo wake unaotarajiwa kutoka hivi karibuni na
umepikwa na producer P-Funk Majani wa Bongo Records.
“Mi naweza kusema Project ni nzuri, na ni project kubwa, kama
unavyoona imefanywa na watu hawa wakubwa. Pia ni Project ambayo ina
nguvu sana, kwa hiyo usimamizi wake ni mkubwa chini ya P-Funk Majani
mwenyewe au sio..kwa hiyo fans wa Jay Moe wategemee kitu kikubwa sana
kutoka kwa Jay Moe, na fans wa CP hali kadhalika fans wa AY na Mr.
Blue.” Amesema Byser.
P Funk Majani ametweet kuhusu ngoma hiyo ya Jay Moe ambae yuko nje ya
nchi hivi sasa, BMS inaweza kusikika kwenye vituo vya radio hivi punde
kwa mujibu wa Majani. So endelea kusikiliza Timesfm 100.5 au kama uko
nje ya Dar es Salaam unaweza kusikiliza online kupitia tovuti hii.
“CBM Coming Soon to a Radio Near You!” Ametweet P-Funk Majani.
5 comments:
Hopefull itakua poa xana
mafundi hao lazima mzigo uwe pouwaaaaaa!!
MAjani kwenye kick,masnare akosei much respect m@ bro...ther/pale mo tech,huku byser,hapo cp yule pale mzee wa abroad kutoka mzee wa comercial mtaani kuchungu kwa wabana puuu....kubayaaa
MAjan noma,mo,blue,cp&ay bonge la project
MAjani kwenye kick,masnare akosei much respect m@ bro...ther/pale mo tech,huku byser,hapo cp yule pale mzee wa abroad kutoka mzee wa comercial mtaani kuchungu kwa wabana puuu....kubayaaa
Post a Comment