22.11.13

Tuesday, October 22, 2013

Hivi umeshawahi kufikiria mbali na urafiki wa ROMA na CHOKA kwenye mziki pia wanaurafiki wa hivi.

Hugoline (DJ CHOKA)
Harrison (CHOKA JR)

Ibrahim (ROMA)
Ivan (IVAN 2030)

Je umegundua nini kwenye hayo majina, kama unafuatilia alfabeti utagundua baada ya herufi H inakuja I so mbali tu na urafiki wetu tulijikuta tukiwapa watoto wetu majina lakini mwisho ya siku ikaja kutokea hivi hahaaa thanks GOD kwa kutupa nguvu za kuwalea hawa watoto. Mtoto wa Roma juzi kati ndio alitimiza mwaka 1 na mtoto wa DJ CHOKA yeye tarehe ya leo 22.11.13 ametimiza miezi 11 so mwezi ujao ndio anatimiza mwaka.

No comments: