Baada ya uzinduzi
kufanikiwa kwa kiasi kikubwa na kukonga nyoyo za wapenzi wa burudani
tanzania xtreme deejayz wiki hii wanaendeleza burudani ya kipekee new
maisha club dar, akiongea na blog hii ya burudani msemaji mkuu wa xtreme
deejayz hemed kavu(hk) alisema kila ijumaa tutakuwa new maisha club dar
na tulichokifanya siku ya uzinduzi ilikuwa ni rasharasha mvua kamili ni
ijumaa hii tunawakaribisha watanzania kwa wingi san kuja kupata
burudani ya kiwango cha kimataifa.kwa kiingilio cha buku 10 tu.
No comments:
Post a Comment