22.11.13

Wednesday, October 09, 2013

Ijumaa hii NEW MAISHA CLUB DAR inakuletea LIVE DJ with DA DRUM MUSIC Grand Launch

Ijumaa hii pale New Maisha Club Dar kutakuwa na uzinduzi wa kufa mtu ya show mpya ambayo inawakusanya watu wawili, namzungumzia DJ pamoja na mpiga DRUM njoo uone mabadiliko ya entertainment. Hapa #DVJMajay halafu pembeni kwenye Drum yupo  #ZunguTheDrummer 
Uwiiiiiiiiiiiiiii Natetemekaaaaaaaaaaaaaaa #hadiRAHA

No comments: