22.11.13

Sunday, October 27, 2013

KAZI ALIZOFANYA DIR NISHER KWA MWAKA HUU 2013 NDIO HIZI HAPA.

Najua unajua ila nataka kukujuza zaidi kwamba hizi ndizo kazi alizozitengeneza Dir wa video hapa bongo anaitwa NISHER @nisherbybee hadi hivi sasa na nyingine bado hazijatoka kama utaangalia vizuri kuanzia kwenye video ya SUMU hizo zilizobakia zote ndio zinatakiwa kutoka sasa.

1 comment:

platnum shyner said...

Yap najua unaweza poa sana joh....!ila me ni underground star so nahitaji sapot yako nisher (+255 714 665989 cal me shyner