22.11.13

Wednesday, October 23, 2013

MCHIZI MOXIE kuizindua video yake "PIGA MAKOFI" siku ya birthday 1.11.13

Ijumaa ya week ijayo tarehe 1 msanii wa Hip Hop nchini atakuwa anasherehekea siku yake yakuzaliwa pande za Hood yake Tabata. Moxie amesema mbali na kusherehekea siku yake yakuzaliwa hiyo pia anatakuwa akizindua video ke mpya kabisa inayokwenda kwa jina la PIGA MAKOFI. Ameomba ndugu jamaa na marafiki kujitokeza siku hiyo kwani kiingilio ni sawa na bure shilling elfu 5 tu na utapata BBQ bureeeeeeeee huku ukipata huduma nzuri kabisa kutoka kwa wahudumu waliobobea kwenye kazi yao hapo VIENA PUB iliyopo Tabata

No comments: