22.11.13

Wednesday, October 09, 2013

(New Audio) Ule wimbo wa JCB na PROF JAY "DRIVE SLOW" umetoka rasmi usikilize hapa

Ngoma Mpya toka kwa JCB ft Profesa Jay, "Drive Slow" ikiwa ni mkono toka MarcoChali pande za MJ Records Dar-es-Salaam, na kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi cheki na JCB kupitia +255 763 778 787

2 comments:

HALF GENIUS said...

Mzigo unazingua kudownload kabisa mkubwa kama vip rekebisha mkali!

Anonymous said...

Tunashindwa kabisa lu download, fanya marekebisho dj