22.11.13

Thursday, October 03, 2013

(New Music) BiuBui - Hii Ngoma

Leo napenda kuwapa wimbo wangu mpya unaoitwa hii ngoma. Hii ngoma niwimbo niliouwimba kwa isia kali sana kwa lengo la kuongeza juhudi zaidi na kufanya kazi zangu kuwa za kimataifa zaidi.

Ndugu zangu,marafiki zangu na watu wote kwa ujumla, nashukuru sana kwa saport yenu mnayonipa zikiwemo midea za kitanzania asa Radio,Tv,Magazeti na kwenye mitandao tofauti tofauti ya kijamii. Ahsanteni sana na msife moyo kwa nguvu zenu, naona kazi zangu zinaendelea kua juu na inatia moyo kwa kweli.

Kichichi mawe ni aina ya mchezo mpya wa kucheza na  ninjia pia ya kupongezana kama sisi vijana kwakila jambo linalofanyika, Chichi mawe ni jina la bondia wangumi Tanzania anaejulikana sana kwa jina la Franc Miyayusho. Hivi karibuni Franc amekua akishinda mapambano yake yote na hana historia ya kupigwa hata mara moja. Kwa kuliona ilo mimi kama Buibui na nimsanii wa mziki huu wa nyumbani nimeona bora nimpongeza rafiki yangu mpendwa kwa kutoa aina ya uchezaji inayoitwa kichichi mawe.Kichichi mawe nitakua nacheza kila nitakapo kuwa kwenye show zangu na nitakua nacheza pia kwenye ngoma hii na nipo kwenye maandalizi ya mwisho ya Video yake na nitaonesha jinsi ya uchezaji huo mpya nilioupa jina la KICHICHI MAWE.

No comments: