Bado
The Mboni Show Zanzibar edition iko hewani, wiki hii utakutana na
muimba taarabu mashuhuri wa Zanzibar Makame Faki. Karibu upate historia
ya sanaa Zanzibar na ujionee vipaji alivobarikiwa mzee Makame Faki.
Ni Alhamisi hii EATV saa 3 usiku
Ni Alhamisi hii EATV saa 3 usiku
Mzee Makame Faki
No comments:
Post a Comment