22.11.13

Monday, October 28, 2013

(News) VIDEO YA ROMA "2030" KUTOKA TAREHE 1.11.13

Video mpya ya ROMA ambayo wengi wanaisubiria imekuwa kama gumzo hivi kwa picha zinazowekwa Instagram na Dir wa video hiyo ambaye anajulikana kwa jina la NISHER. Kila mtu anazungumza hiki wengine wanazungumza yao lakini video inatoka Ijumaa hii tarehe 1.11.13 so kaa tayari kwa kichupa hiki kikali niamini mimi ni video nzuri sana hujawahi ona

No comments: