22.11.13

Wednesday, October 09, 2013

(News) Baada ya kumaliza FORM 6 na kufaulu vizuri M-RAP achaguliwa kujiunga chuo hiki.

M-RAP Tayari nimeanza elimu ya Chuo Kikuu pale IFM nikichukua BACHELOR OF INSURANCE AND RISK MANAGEMENT ''course"ambayo inahusu mambo ya BIMA...ambayo inalenga kuhudumia na kulinda usalama wa mali za kila Mtanzania kwa lugha ya kigeni naweza fupisha kwa kusema "SOCIAL PROTECTION"kwani kila siku matatizo huwapata wananchi ambao wengine nyumba zao huungua na hata magari kupata ajali ikiwa yana BIMA...nilichaguliwa TUMAINI UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM lakini kutokana na sababu tofauti ilinibidi nichague Chuo kingine ambacho hicho nimeanza sasa

2 comments:

Difa Lonley said...

umetisha mzaz,study hard broo

Anonymous said...

gud mzaz