Meneja Uhusiano wa
Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(kushoto)akiwasiliana na mmoja wa
washindi kati ya(60)waliojishindia Bodaboda na(24)wamejishindia fedha taslimu
katika Promosheni ya “Timka na BodaBoda”ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno
Promo kwenda 15544.katikati ni Afisa
huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya
michezo ya kubahatisha Bakari Abdallah.
Meneja Uhusiano wa
Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(kushoto)akiongea na waandishi wa
habari(hawapo pichani)wakati wa kuchesha droo ya Promosheni ya”Timka na
BodaBoda” Jumla ya washindi(60)waliojishindia Bodaboda na(24)wamejinyakulia
fedha taslimu katika Promosheni hiyo.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.katikati ni Afisa
huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya
michezo ya kubahatisha Bakari Abdallah.
Mshindi wa Promosheni
ya”Timka na Bodaboda”Bw.Ernest Thawe,ambaye ni mfanyakazi wa Msimbazi Center
kitengo cha ufundi wa bomba,akiesabu kitita chake cha shilingi 1,000,000 mara
baada ya kuzitoa kwa njia ya M-PESA na kukabidhiwa na Meneja Uhusiano wa Umma
wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu(kushoto)katikati ni Afisa huduma za ziada wa
kampuni hiyo Rashid Maggid. Jumla ya washindi(60)wameshinda Bodaboda
na(24)wamejinyakulia fedha taslimu katika Promosheni hiyo.Ili kujiunga na
Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda
15544.
Mshindi wa Promosheni
ya”Timka na Bodaboda”Bw.Ernest Thawe,ambaye ni mfanyakazi wa Msimbazi Center
kitengo cha ufundi wa bomba(kulia)pamoja na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom
Tanzania Matina Nkurlu,wakiwaonesha ujumbe wa M-PESA wa shilingi 1,000,000 kwa
waandishi wa habari aliotumiwa baada ya kujishindia kupitia promosheni hiyo toka
makao makuu ya Vodacom.Jumla ya washindi(60)wameshinda Bodaboda
na(24)wamejinyakulia fedha taslimu katika Promosheni hiyo.Ili kujiunga na
Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda
15544.
Mkazi wa Ubungo jijini
Dar es Salaam Paul Muro ambaye ni mmoja
kati ya washindi(24)waliojishindia fedha taslimu kiasi cha shilingi 1,000,000
kila mmoja katika Promosheni ya”Timka na Bodaboda”inayoendeshwa na Vodacom
Tanzania,akihesabu kitita chake huku akiwa na bashasha baada ya kujishindia
kiasi hicho huku akishuhudiwa na Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo,Bw.Matina
Nkurlu.
No comments:
Post a Comment