Mixtape/kanda mseto ambayo imejumuisha wasanii wa hip hop
tofauti tofauti.
Pia imejaribu kuelezea mambo tofauti kama vile maisha ya
mtaani, mapenzi, battle n.k.
Baadhi Wasanii walio husika katika mixtape hii ni Mansu –
Li, Nikki Mbishi, Zaiid, PMC, Songa, One the Incredible,Wakazi, Tabla,X-Dizzo,
Kimbunga,Nash Mcee,Phil Techniques, Azma, Ghetto Ambassador n.k.
Itaanza kupatikana mtaani tarehe 2 ya mwezi wa 11 ambapo itazinduliwa rasmi pale
msasani club kwenye tamasha la HIP HOP FESTIVAL MECHANDISE linaloandaliwa na
TAMADUNIMUZIK.
No comments:
Post a Comment