22.11.13

Wednesday, October 30, 2013

(News) DAMIAN SOUL feat. JOH MAKINI "NI PENZI" Coming Soon

Mkali wa miziki ya Soul bongo anajulikana kwa jina la Damian Soul anatarajia kuja na wimbo wake mpya alioupa jina la NI PENZI akiwa amemshirikisha mkali mwingine wa Hip Hop bongo anayetokea kundi la WEUSI anajulikana kwa jina la Joh Makini. Damian anawaomba mashabiki wake wampokee kwa ujio huu mpya na anaamini hatowaangusha.

1 comment:

Sajjo Mbembela said...

Jiji litatikisika aisee, hiki kipaji si levo ya Nchini pekee , , , Dunia nzima aisee, , , Go Demian Go Mr Talented