Leo ilikuwa kama gumzo katika account ya Instagram baada ya kuonekana picha hizi Diamond akiwa na Wema Sepetu pande za China. Mengi yalisemwa hadi wengine kudiriki kumtukana Penny ambaye ndio wa Diamond lakini ukweli ni kwamba hii ni movie mpya kabisa iliyochezwa na Diamond akiwa na Wema Sepetu na hakuna kingine kinachoendelea tena hapa ni kazi tu.
Namnukuu Diamond akiyasema maneno haya
Hebu tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko
kimahusiano ya Mapenzi basi msizungumze ama Kushiriki kwa chochote?
Futeni huo uzamani na Mbadilike, inamaana
Mnapenda kuona watu
wanauadui... nimuda
wa kufanya kazi ili Kulipa sifa na heshima Taifa la
Tanzania
na si kuekeana chuki zisizo nanfaida..
I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA.
7 comments:
Movie bafuni na camera ya samsung...,movie watu wawili tuuuu, dahhh. Ukiona manyoya uje kashaliwaa!
duuuh kwel hyo movie
Limbuken wa umaarufu!
Kaka utaumbuka mwisho wa cku, diamond na wema waache. Muvi scene za malavdav tuuu, na huyu babu wa kichina yupo jaman SAMAHAN LKN
Duh! Magezeti ni ya diamond na wema na instagram ni ya diamond na wema ambaka china hong kong ni diamond na wema hatari xana what hel dis iz?
ata na pen alixema anacheza nae muv xo kaitafute xokon then ndo useme na iyo ni muv .bt wema ,diamond ndo habar ya mjini wanapendezajeeeeeeee huyo pen asijifanye mtanga cku izi kila mtu mtanga aaache mambo ya kizaman
Movie gani ya watu wawili
Post a Comment