22.11.13

Sunday, October 06, 2013

(News) Facebook Page ya KALA JEREMIAH imeibiwa na matapeli na wameshaanza kuitumia watakavyo.

Habari wadau woote naomba kuwathibitishia kuwa mimi kala jeremiah page yangu ya facebook imeibiwa na matapeli wa kwenye mitandao na wameshaanza kuitumia wameanza kwa kutoa tangazo la mikopo kwa hiyo siyo mimi ni matapeli. Inauma sana kuona nimehangaikia page hii mpaka hapo ilipofikia ina like zaidi ya 52, 000 watu zaidi ya elfu hamsini na mbili.nimeamua kuanzisha page mpya ndo naishughulikia sasa inaitwa KALA 0444 poleni sana kwa usumbufu. ni mimi rafiki yenu kala jeremiah

5 comments:

G Mathias said...

Atafute wataalam na xio kufungua page mpya itachukua mda xana

JOSEPH NGOWI said...

Imeibiwaje kutakuwa na m2 aliyekuwa akijua vi2 vyake

JOSEPH NGOWI said...

MAJANGA KWELI

JOSEPH NGOWI said...

MAJANGA KWELI

DOMINICKY CHARLES said...

Pole yake kaka mkubwa,ila hata hiyo page mpya awe makini nayo..by http://dominickythebest.blogspot.com