22.11.13

Wednesday, October 09, 2013

(News) Fahamu jina hili la mtoto wa kwanza wa NAKAAYA aliyezaliwa Jumamosi iliyopita.

 Jumamosi iliyopita ya tarehe 5 msanii wa bongo fleva NAKAAYA SUMMARY mungu alimjalia kujifungua salama na kupata mtoto wa kiume na kumpa jina la KAI SAMUEL. Leo kupitia account yake ya Instagram amepost picha hii ya mtoto na kumuandikia maneno mzuriiiiiiiiiNo comments: