22.11.13

Wednesday, October 23, 2013

(News) HARAMBEE (FUND RAISING) YA MSIBA WA "BI MARTHA SHANI" NI JUMAMOSI OCTOBER 26 WASHINGTON (DMV)

                                                      Marehemu Bi Martha Shani (1976-2013)
KAMATI YA MAZISHI INAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 26 OCTOBER 2013 KUANZIA SAA TISA MCHANA,KUTAKUWA NA HARAMBEE  (FUNDRAISING)  KWA AJILI YA KUCHANGIA FEDHA ZA KUWEZESHA KUSAFIRISHA MWILI WA DADA YETU MARTHA SHANI NA FAMILIA YAKE KUELEKEA NYUMBANI TANZANIA.

HARAMBEE HIYO ITAFANYIKA
3621 CAMPUS DRIVE
COLLEGE PARK,MD,20740

KUFIKA KWAKO NDIYO MAFANIKIO YAKUWEZESHA KUUSAFIRISHA MWILI WA DADA YETU KWENDA NYUMBANI TANZANIA KWA AJILI YA MAPUMZIKO YA MILELE.

No comments: