22.11.13

Tuesday, October 22, 2013

(News) Hivi ndivyo alivyoagwa marehemu JULIUS NYAISANGAH leo katika viwanja vya LEADERS CLUB

 Aliyeshikilia msalaba ni Dkt Misanya Bingi mtangazaji wazamani ambaye na yeye pia alifanya kazi na marehemu Julius Nyaisangah pale Radio One

Dkt Reginard Mengi mwenyekiti wa makampuni ya IPP akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu Julius Nyaisangah kabla haujasafirishwa kuelekea kijijini kwao Tarime mkoa wa Mara kwa mazishi

Picha zaidi ingia HAPA

No comments: