22.11.13

Sunday, October 27, 2013

(News) KAMA WEWE NI FAN WA KIPINDI CHA THE MBONI SHOW BASI UJUMBE HUU UNAKUHUSU SANA.

Wewe FAN wa THE MBONI SHOW, kama unataka kushikiriki kwenye Show ukiwa kama Audience ( Mchangia Mada ) pls fanya kutu Follow kwa Instagram ambayo ni @thembonishow na Pia njoo kwa Facebook Ac yetu ambayo nayo ni Thembonishow au Twitter Account @thembonishow au tutumie email yetu info@thembonishow.com ili ujumuike nasi kwenye Recording zetu za Show.. Ukifanya hvyo utapata full info.. 
Thanks # Nawapenda sana FANS wangu # ONE LOVE

No comments: